Текст песни ali kiba - run dunia

Просмотров: 20
0 чел. считают текст песни верным
0 чел. считают текст песни неверным
На этой странице находится текст песни ali kiba - run dunia, а также перевод песни и видео или клип.
Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza

lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza

mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa

ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh

fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda

ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima

haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama

kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye..

mimi na yeye

kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue

kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa

najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

feel free to love

feel free to love

wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda

na kuna waliokimbia... hii dunia... sababu hiyohiyo kupenda

yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala

Best wangu nilimpendaaaa.. umefanya mpaka sasa kajiua

fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda

ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima

haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama

kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye..

mimi na yeye

kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue

kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa

najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

feel free to love

feel free to love
Sikatai Юла muonyesha wivu ndiye mwenye Mapenzi я Квели Ква mwenza

Лакини Пиа uvumilivu на vitendo Vya Караха vilimuumiza

mwenzio Мими п mtulivu на kuiba мали я MTU sijafunzwa

Ona dhambi lawama ulonipa Мими Лев inaniuma а

fikira Зико vibaya ZA kudhani я kwamba Юла demu nilimpenda

п Квели nilimpenda, Лакини п кама Rafiki ва КИМА

хайа uliyofanya Лев, ikifika kesho utajibu Нини Киама

Ква Йельского yote Мапендо п кама kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako на kuwa Мими Naye ..

Мими на Yeye

kutokana на Вако wivu ukadariki kumuacha ajiue

kwanini почему, unatema Big G Ква Каранга ZA kuonjeshwa

najua mwanamke akipenda, хува ... kapenda Квели

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна запустить duniaaaa

не стесняйтесь любить

не стесняйтесь любить

wajua куна waliobadilisha Дини на yote sababu Я. kupenda

на куна waliokimbia ... HII Дуня ... sababu hiyohiyo kupenda

Юла alikupenda Сана, ninajua на Mambo Mengi umefanya илала

Лучший Вангу nilimpendaaaa .. umefanya Мпака Саша kajiua

fikira Зико vibaya ZA kudhani я kwamba Юла demu nilimpenda

п Квели nilimpenda, Лакини п кама Rafiki ва КИМА

хайа uliyofanya Лев, ikifika kesho utajibu Нини Киама

Ква Йельского yote Мапендо п кама kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako на kuwa Мими Naye ..

Мими на Yeye

kutokana на Вако wivu ukadariki kumuacha ajiue

kwanini почему, unatema Big G Ква Каранга ZA kuonjeshwa

najua mwanamke akipenda, хува ... kapenda Квели

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна запустить duniaaaa

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна перспективе Дуня, Mapenzi Яна перспективе Дуня

Mapenzi Яна запустить duniaaaa

не стесняйтесь любить

не стесняйтесь любить
Опрос: Верный ли текст песни?
Да Нет
Контакты